#Local News

WAZAZI NJIA PANDA KUHUSU GRADE 10

Baadhi ya wazazi wamejipata katika hali ya mkanganyiko kuhusu hatma ya masomo ya wanao wanaofaa kujiunga na gredi ya 10 wiki ijayo, baada ya kukumbwa na dosari katika mchakato wa kuwaweka katika shule za kujiunga nazo.

Wakizungumza na wanahabari, wazazi waliokosa kurudhishwa na shule walizowekwa wanao wamelalamikia madai ya serikali kutojali, wakiitaka kuangazia upya mchakato huo.

Wakati uo huo, muungano wa KUPPET umeibua hofu kuhusu miundominu ya kufanikisha masomo ya gredi ya 10.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAZAZI NJIA PANDA KUHUSU GRADE 10

ALAI AKANA KUMSHAMBULIA BABU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *