USALAMA WA WAMAFUNZI KUIMARISHWA, SERIKALI
Wizara ya elimu imetangaza kuwa itaendesha ukaguzi wa mara kwa mara shuleni kwa lengo la kutathmini hali ya miundomsingi ili kuwahakikishia wanafunzi usalama wao, hasa baada ya wanafunzi 3 katika wa chekechea katika shule ya Queen of Angels kaunti ya Uasin Gishu kuzama kwenye choo walimokuwa.
Katibu katika idara ya elimu ya msingi Julius Bitok na msaidizi wa Rais William Ruto Farouk Kibet, wamesema serikali haitalegeza Kamba katika kuimarisha ubora wa miundomsingi shuleni.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































