#Local News

WANDANI WA “HUSTLER” WATETEA HUSTLER FUND

Pendekezo la tume ya kitaifa kuhusu haki za kibinadamu KHRC kwamba hazina ya Hustler Fund itolewe limechukua mkondo wa kisiasa, wandani wa Rais William Ruto wakipinga pendekezo hilo wanalosema lilichochewa kisiasa.

Wakizungumza katika hafla ya kuwawezesha kiuchumi wakazi wa kaunti ya Makueni, wabunge wanaoegemea mrengo wa Kenya Kwanza wametetea hazina hiyo, wakisema ni mojawapo ya mikakati ya serikali kuwakwamua kiuchumi wakenya walio na mapato ya chini.

KHRC ilitaja hatua ya fedha zilizokopwa kukosa kurejeshwa kuwa ni kupotea kwa fedha za umma.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WANDANI WA “HUSTLER” WATETEA HUSTLER FUND

EACC YAFICHUA ONGEZEKO LA HONGO

WANDANI WA “HUSTLER” WATETEA HUSTLER FUND

KUNA UFADHILI WA KUTOSHA, OGAMBA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *