MUUNGANO WA WANAFUNZI WA AFRIKA MASHARIKI WAUNGA MKONO RAILA KUWA MWENYEKITI WA AUC
Muungano wa wanafunzi wa afrika masharika umeunga mkono hazima ya kiongozi wa azimio raila Odinga kuwania wadhifa wa mwenyekiti wa AUC.
Wamemtaja Odinga kuwa kiongozi mwenye tajriba inayostahili kwa wadhifa huo.
Hii inajiri baada ya Odinga tangazwa rasmi na rais William Ruto kwenye hafla iliyohudhuriwa na maraisi wa ukanda wa afrika mashariki.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































