MAKATAA YA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU YAONGEZWA
Serikali imeongeza makataa ya kutuma maombi ya ufadhili kwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaojiunga na vyuo vikuu katika mwaka wa masomo wa 2024-2025.
Katibu wa elimu ya Juu Beatrice Nyangala anasema makataa hayo yameongezwa kwa siku kumi na kwamba itafungwa agusti tarehe 15.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































