#Local News

WAZAZI KUENDELEA KULIPA KARO YA ZIADA, KESSHA YATANGAZA

Huenda wazazi wakaendelea kulipa karo ya ziada baada ya muungano wa walimu wakuu wa shule za upili KESSHA kutangaza kuwa hautazingatia agizo la mahakama lililoharamisha malipo hayo, kwa misingi kwamba shughuli zitalemazwa shuleni kutokana na mgao finyu.

Akizungumza jijini Mombasa kwneye matayarisho ya kongamano la kila mwaka la muungano huo, mwenyekiti wake Willy Kuria amesema mfumo wa utoaji wa mgao wa shule ni wa zamani na hivyo hauwezi kumudu mahitaji ya sasa.

Imetayrishwa na Antony Nyongesa

WAZAZI KUENDELEA KULIPA KARO YA ZIADA, KESSHA YATANGAZA

ADA YA MATIBABU YA KARIUKI YAZIDI KUONGEZEKA

WAZAZI KUENDELEA KULIPA KARO YA ZIADA, KESSHA YATANGAZA

SITA WAKABILIWA NA KESI MAUAJI YA OJWANG

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *