KUPPET WAITAKA SERIKALI KUFUATILIA MIRADI YA UJENZI WA MADARASA YA JSS

Muungano wa walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET wanashinikisha kuzingatiwa kwa miradi ya ujenzi wa madarasa ya shule za sekondari ya msingi JSS inayofathiliwa na benki ya dunia.
Kwa mujibu wa Katibu mkuu wa muungano huo Akello Misori serikali inapaswa kuhakikisha kuwa kuna matumizi mwafaka ya fedha ili kuimarisha miundo msingi shuleni.
Imetayarishwa na Janice Marete