#Business

WALIOCHELEWA KUWASILISHA RIPOTI KWA KUCHELEWA WAPUMUA

Mamlaka ya kukusanya Ushuru nchini (KRA) imethibitisha kuwa imeondoa adhabu zilizotozwa kimakosa kwa walipa kodi ambao waliwasilisha ripoti zao za ushuru wa mapato 2024 kati ya Julai 1 na Julai 5, 2025, wakati wa makataa yaliyoongezwa.

Kwa mujibu wa Mamlaka hiyo, adhabu hizo zilitolewa kimakosa, na mchakato wa kuwaachia sasa umekamilika. Ufafanuzi huo ulifuatia malalamishi kutoka kwa Wakenya ambao walipokea arifa za adhabu licha ya kuwasilisha ndani ya muda wa msamaha uliotolewa baada ya hitilafu za kiufundi mwezi Juni 30 kutatiza mfumo katika siku ya makataa rasmi.

Imetayarishwa na Maureen Amwayi

WALIOCHELEWA KUWASILISHA RIPOTI KWA KUCHELEWA WAPUMUA

WADAU WAZUNGUMZIA DYSLEXIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *