#Local News

KISUNZI CHA BARUA ZA MATABIBU

Madaktari wanagenzi waliokesha katika makao makuu ya wizara ya afya jijini Nairobi wangali katika eneo hilo wakishinikiza kupewa barua za uajiri.

Wakizungumza na wanahabari, madaktari hao wamesisitiza kwamba hawataondoka bila barua, na kutaka waajiriwe kwa awamu moja tofauti na mpango wa wizara ya afya wa kutaka waajiriwe kwa awamu mbili.

Viongozi wa muungano wa madaktari KMPDU wako katika eneo hilo kupata suluhu kwa mgomo wa madaktari hao ambao ni 1200.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KISUNZI CHA BARUA ZA MATABIBU

UJUMBE WA RUTO, RAILA KWA GEN Z

KISUNZI CHA BARUA ZA MATABIBU

KARUA ATOFAUTIANA NA RUTO, RAILA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *