WANAFUNZI WAATHIRIKA NA CHANGAMOTO ZA CBC

Wanafunzi wanakumbwa na changamoto katika utekelezaji wa mtaala wa umilisi (CBC), huku serikali ikihimizwa kuchukua hatua za dharura kuzitatua.
Muungano wa wazazi unasema gharama ya juu ya utekelezaji wa mtaala huo ni miongoni mwa changamoto ambazo bado hazijashughulikiwa ipasavyo, jambo linalowaathiri moja kwa moja wanafunzi.
Imetayarishwa na Janice Marete