#Business

SERIKALI KUIMARISHA EPZ

Serikali inafanya mazungumzo ya kuweka mikakati ya kuwezesha mazingira bora kwa sekta ya mauzo ya nje ya nchi (EPZ, ripoti ya hivi majuuzi ikionyesha kuwa taifa linaendelea kuvutia wawekezezaji katika sekta hiyo.

Hata hivyo serikali kuu inategemea  hiyo na ile ya kibinafsi kuunda nafasi za kazi kwa vijana na kukuza mauzo ya nje ya nchi katika azma yake ya kuboresha sekta ya Uchumi na biashara. 

Kulingana Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda Rebecca Miano, angalau kampuni 17 mpya zimejiunga na mpango wa mamlaka ya Export Processing Zones Authority (EPZA) katika kipindi cha miezi sita iliyopita, sekta  nne mpya za kibinafsi zimechapishwa katika gazeti la serikali kwa kujiunga na shirika hilo katika kipindi hicho.

Imetayarishwa na Maureen Amwayi

SERIKALI KUIMARISHA EPZ

MARUFUKU YA MAHAKAMA KWA POLISI

SERIKALI KUIMARISHA EPZ

HAZINA YA KITAIFA NJIA PANDA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *