#Local News

MAOMBOLEZO YA BABA

Ulimwengu umejiunga na Kenya kuomboleza kifo cha Waziri mkuu wa zamani Raila Odinga aliyefariki hapo jana, viongozi wa mataifa na taasisi mbali mbali za dunia wakituma risala za rambi rambi.

Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amemtaja Odinga kama mnara wa taifa na rafiki wa India, akimkumbuka kwa juhudi zake za kuimarisha ushirikiano kati ya Kenya na India.

Wengine ni ubalozi wa Marekani nchini, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, mwenzake wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud, Muungano wa umoja wa Afrika AU, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed miongoni mwa wengine.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAOMBOLEZO YA BABA

ODINGA KUZIKWA JUMAPILI

MAOMBOLEZO YA BABA

MWILI WA ODINGA WAWASILI JKIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *