#Local News

MBUNGE AISHUTUMU IEBC KWA VURUGU

Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imetakiwa kudhibiti ghasia zinazoshuhudiwa kwenye maandalizi ya chaguzi ndogo katika maeneo mbali mbali, ambazo zimesababisha mauaji ya mtu mmoja katika eneo bunge la Kabuchai na uharibifu wa makazi ya mbunge wa eneo hilo Majimbo Kalasinga.

Mwendazake ni mzee mwenye umri wa miaka 70 aliyejeruhiwa kwenye makabiliano wakati wa mkutano wa hadhara ulioongozwa na gavana wa Trans Nzoia George Natembeya, huku wengine waliojeruhiwa wakiendelea kutibiwa.

Licha ya idara ya usalama kutoa hakikisho la uchunguzi, Majimbo ameitaka IEBC kukaza Kamba.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MBUNGE AISHUTUMU IEBC KWA VURUGU

RUTO AMTETEA MUSEVENI KUHUSU BANDARI

MBUNGE AISHUTUMU IEBC KWA VURUGU

GACHAGUA, KINDIKI WAENDELEZA UBABE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *