RUTO APUUZA ‘KELELE’ ZA UPINZANI
Hazina mpya ya miundomsingi itakuwa tayari wiki hii licha ya pingamizi ya muungano wa upinzani kuhusiana na mipangilio ya ufadhili wa hazina hiyo kupitia uuzaji wa hisa za kampuni moja ya mawasiliano.
Ni msimamo wa Rais William Ruto akizungumza alipofungua makao makubwa zaidi duniani ya vifaru Weusi katika mbuga ya Tsavo akisema Kenya iko mstari wa mbele kuhakikisha usalama wa wanyamapori.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































