WAGOMBEAJI WAZUILIWA KUINGIA KWENYE VITUO VYA UPIGAJI KURA
Baadhi wagombeaji na wafuasi wao wazuiliwa kuingia kwenye vituo vya kupiga kura kwa nia ya kisingizio cha kulinda kura.
Agizo hili limetolewa na tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC huku afisa wa uchaguzi eneo bunge la Kasipul ,Rebecca Abwakhu akisema hatua hiyo itazuia ghasia katika uchaguzi mdogo unaoendelea .
Agizo hilo linajiri baada ya mbunge wa Homa bay mjini Peter kaluma kushambuliwa na watu wasiojulikana kwenye kituo cha kupiga kura cha agoro sare.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































