#Local News

WAHUDUMU WA JUAKALI WAHUSISHWA KWENYE MRADI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU KWALE

Wahudumu wa sekta ya juakali katika kaunti ya Kwale wanatazamia kuimarisha biashara zao iwapo serikali kupitia idara ya nyumba na mipangilio ya miji itashirikiana nao katika utekelezaji wa mradi wa nyumba za bei nafuu.

Kulingana na mkurugenzi wa mradi huo eneo la pwani John Karanja wahudumu wa juakali watapewa kandarasi ya kusambaza vifaa vya ujenzi wa nyumba hizo zinazojengwa eneo hilo.

Karanja aidha amesema kuwa mradi huo utakamilika baada ya miezi kumi na nane.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAHUDUMU WA JUAKALI WAHUSISHWA KWENYE MRADI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU KWALE

NYOTA YA STARS YAREJEA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *