USAJILI WA MAKURUTU UNAENDELEA KOTE NCHINI
Zoezi la kuwasajili makurutu wa polisi yaendelea kote nchini hata hivyo katika kaunti ya Mombasa idadi ndogo imeshuhudiwa huku baadhi ya
vijana wakishindwa kushiriki baada ya kufika wakiwa wamechelewa.
Afisa anayesimamia zoezi hilo eneo la Mvita Simon Ndiwa amewataka vijana kujitayarisha mapema kwa kuhakikisha wana stakabadhi zinazohitajika kwa usajili wa makurutu.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































