IDARA ZA SERIKALI YA KITAIFA NA KAUNTI ZATAKIWA KUWEKA HUDUMA ZAO KATIKA VITUO VYA HUDUMA CENTRE

Wakenya watapokea huduma zinazotolewa na serikali ya kitaifa na zile za kaunti kwa urais iwapo agizo la waziri wa utumishi wa umma Justine Muturi la kutaka idara hizo kuweka huduma zao katika vituo vya huduma centre.
Muturi amezitaka Idara zote za serikali ya kitaifa za zile za kaunti kuhakikisha huduma zao zinapatikana katika vituo vya huduma centre ili kuwawezesha wakenya k,upata hudum a hizo kwa urahisi na kwa wakati ufaao.
Imetayarishwa na Janice Marete