#Local News

HAKI KWA DAISY WAWERU

Familia moja inatafuta haki baada ya binti yao mwenye umri wa miaka 24 amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya nne huko ngong kaunti ya Kajiado.

Uchunguzi wa maiti unaonyesha kuwa msichana huyo kwa jina Daisy Waweru alifariki kutokana na majeraha mengi kichwani ,kifuani na tumboni yanayokisiwa kuwa alipigwa kwa kifaa butu

Imetayarishwa na Janice Marete

HAKI KWA DAISY WAWERU

ROONEY AANZA KWA KUSHINDWA

HAKI KWA DAISY WAWERU

HOFU YA KUPUNGUA KWA NDOVU NCHINI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *