#Local News

KINDIKI:DARAJA LA NITHI KUJENGWA KWA UFADHILI WA CHINA

Wakazi wa eneo la Nithi, Kaunti ya Tharaka Nithi, wanatarajiwa kunufaika na mradi wa ujenzi wa daraja la Nithi, ambao utaendeshwa na serikali kuu.

Kwa mujibu wa Naibu Rais, Prof. Abraham Kindiki, serikali imekamilisha mipango ya kuanza ujenzi huo baada ya kupata ufadhili kutoka kwa serikali ya China.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *