#Local News

KMPDU YATANGAZA MIGOMO MPYA IKIWA MADAKTARI WANAGENZI HAWATAPEWA AJIRA

Muungano wa Madaktari, Wafamasia na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDU) umesitisha mpango wao wa kupiga kambi katika majengo ya Wizara ya Afya katika Kituo cha Afya House jijini Nairobi.

KMPDU ilikuwa imetangaza mipango ya kupiga kambi katika majengo majengo hayo leo jumatatu, ili kuhakikisha kwamba madaktari wanagenzi wametumwa katika vituo vya afya kote nchini kwa mujibu wa Makubaliano ya Pamoja ya Majadiliano ya 2017 (CBA).

Katika mtandao wa X KMPDU imesema kuwa uamuzi huo umechochewa na mijadala inayoendelea ili kuhakikisha kuwa makubaliano ya CBA yanatimizwa.

Imetayarishwa na Janice Marete

KMPDU YATANGAZA MIGOMO MPYA IKIWA MADAKTARI WANAGENZI HAWATAPEWA AJIRA

CAS, WASHAURI WACHONGWA

KMPDU YATANGAZA MIGOMO MPYA IKIWA MADAKTARI WANAGENZI HAWATAPEWA AJIRA

EACC KUTOA USHAHIDI KATIKA KESI YA OBADO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *