RAIS RUTO KULIHUTUBIA TAIFA SAA SABA MCHANA
Rais William Ruto anatarajiwa kulihutubia taifa saa saba alasiri ya leo.
Kulingana na Katibu katika wizara ya mawasiliano ya Ikulu Emmanuel Talam, Rais atahutubia taifa kutoka Ikulu ya Nairobi saa saba kabla ya mazungumzo ya Ruto X-Space na Gen Zs.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































