GACHAGUA AFUFUA UPYA MDAHALO WA MGAO WA FEDHA WA ONE MAN ONE VOTE ONE SHILLING

Naibu wa rais Rigathi Gachagua amefufua upya mdahalo kuhusu mgao wa fedha za kitaifa akisema maeneo yenye watu wengi yanastahili kupata mgao zaidi kwa mujibu wa mfumo 1man 1 vote 1 shilling.
Kwa mujibu wa gachagua baadhi ya maeneo bunge hasa mlima kenya yana idadi kubwa ya watu ilhali yanatengewa mgao mdogo Zaidi.