RAILA ALICHUKUA UAMUZI WA BUSARA
Viongozi wa chama cha ODM katika kaunti za Transnzoia Busia, kakamega, Vihiga na Bungoma wametetea uamuzi uliofanywa na kiongozi wa chama hicho raila Raila Odinga wa kushirikiana na serikali wakisema kuwa ni wa busara na wala sio wa kujinufaisha binafsi kwa kuwa kulingana nao Odinga ameokoa taifa la Kenya kutoshuhudia machafuko.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































