#Local News

WHO: WATU 3000 HUFARIKI KILA SIKU KATIKA AJALI ZA BARABARANI

Utafiti uliofanya na shirika la afya duniani WHO unaonyesha kuwa zaidi ya watu 3000 hupoteza Maisha kutokana na ajali za barabarani kila siku.

WHO imetoa wito kwa watu wote duniani kuwaunga mkono waliofiwa na wale wanaopatwa na kiwewe cha kisaikolojia cha mda mrefu kutokana na ajali hizo.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *