#Local News

IEBC YATETEA CHAGUZI NDOGO

Chaguzi ndogo za hivi maajuzi ziliashiria utayari wetu kama tume kuendesha uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 licha ya changamoto za hapa na pale za kiusalama.

Ndiyo kauli ya tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC kupitia kwa mwenyekiti wake Erastus Ethekon, ambaye amehimiza ushirikiano wa washikadau ili kufanikisha uchaguzi huo mkuu.

Nayo idara ya polisi imesema inachunguza matukio ya uhuni.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

IEBC YATETEA CHAGUZI NDOGO

WAIGURU AZINDUA UJENZI WA KMTC

IEBC YATETEA CHAGUZI NDOGO

RUSHWA, UFUJAJI TATIZO KUU- EACC

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *