#Local News

SISI PIA NI WAKENYA ; VIONGOZI KAKAMEGA WAMWAMBIA KAHIGA

Baadhi ya viongozi wa kaunti ya Kakamega wamekosoa matamshi ya gavana wa kakamega Mutahi Kahiga kuwa serikali hya kenya kwanza ilifanya makosa kulipa deni la shilingi bilioni 117  kwa wakulima wa miwa licha ya wakaazi wa eneo la magharibi kutochangia katika ushindi wake katika uchaguzi wa 2022.

Kwa mujibu wa viongozi hao matamshi ya Kahiga yanaweza kuleta mgawanyiko kwa wakenya.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *