RUTO AWASIFIA MAKURUTU WA KIJESHI

Rais William Ruto ameongoza gwaride la kufuzu kwa makurutu wa jeshi katika chuo cha kutoa mafunzo ya kijeshi mjini Eldoret, ambako amewataka makurutu hao kujitolea kazini.
Makurutu hao wamepitia mafunzo kwa kipindi cha miezi sita, Rais Ruto akihoji mafunzo hayo yamewaandaa ipasavyo kwa ajili ya mkajukumu yao.
Imetayarishwa na: Antony Nyongesa
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































