RAIS RUTO APATA UUNGWAJI MKONO NCHINI QATAR ILI KUENDELEZA MIRADI NCHINI
Rais William Ruto amepata uungwaji mkono kutoka nchi ya Qatar ili kuendeleza mipango ya Kenya ya kuimarisha miundo msingi.
Makubaliano hayo yameafikiwa hii leo wakati wa mazungumzo na Emir Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani huko Doha
Ruto amesema kuwa Qatar itaongeza uwekezaji katika maeneo muhimu, ikiwemo kilimo, miundombinu na fedha
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































