BEI YA MAFUTA KUONGEZEKA KWA 80%

Watengenezaji wa mafuta ya kupika wameonya kuongeza bei ya bidhaa hiyo kwa hadi asilimia 80 ikiwa mswada wa kifedha wa mwaka 2024-25 utapitishwa bila marekebisho.
Katika taarifa kwa vyombo vya habari, chama cha watengezaji wa mafuta ya kupika nchini wameomba kuondolewa kwa kipengee kinachopendekeza kodi ya asilimia 25 kwa uagizaji wa bidhaa hiyo.
Kwa mujibu wa chama hicho, gharama ya utengenezaji wa mafuta itapanda kwa asilimia 80
Imetayarishwa na: Antony Nyongesa
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































