MASHIRIKA YALALAMIKIA ONGEZEKO LA MIKOPO
Zaidi ya nusu ya mapato ya taifa hutumika kulipia madeni na hivyo kuacha nje sekta muhimu za uchumi wa taifa.
Haya ni kwa mujibu wa shirika la Okoa Uchumi, likisema shilingi 7 kati ya 10 hulipa madeni, huku likiongeza kuwa mikopo ya ndani imekuwa rahisi kufujwa kutokana na ukosefu wa ufuatiliaji.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































