TAHARUKI NAROK TOWNSHIP
Mgombea kupitia chama cha DCP katika wadi ya Narok Township Douglas Makonde amelalamikia uvamizi uliofanyika usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake alipokuwa na mkutano na maanjeti wake.
Awali kulishuhudiwa taharuki kufuatia uvamazi huo ukitia baadhi ya wapiga kura wasiwasi.
Hali ya utulivu imerejea eneo hilo.
Imetayarishwa na Shadrack Maina
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































