AFUENI KWA WANAFUNZI WA KAUNTI YA TURKANA BAADA YA UJENZI WA MADARASA
wanafunzi wa shule ya msingi ya kalokol kaunti ya turkana wamepata afueni baada ya kampuni ya kenya pipeline kuwajengea madarasa mapya matatu.
Hii ni baada ya shule hiyo kusombwa na maji baada ya ziwa turkana kufurika kusababisha wanafunzi kusongamana kwenye madarasa na sasa madarasa hayo sasa yanatazamiwa kutumika kufanyia mitihani wa kitaifa.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































