NTSA YAWAONYA WAMILIKI WA MAGARI YASIYOFAA BARABARABA DHIDI YA KUYATOA BARABARANI

Mamlaka ya usalama barabara NTSA iewaonya wale wanaopanga kutoa magai yao ya zamani barabarani kwa lengo la kupata pesa msimu huu wa krismasi.
Mkuu wa usalama barabarani Samuel Musumba amesisitiza kuwa hakuna magari yasiyofaa kuwa barabarani ambayo yataruhusiwa kuwa barabartani kwa ajili ya kulinda usalama wa wakenya wanaosafiri
Musumba aidha ameeleza kuwa mamlaka hiyo itaimarisha utendakazi wake na kufanya msako mkali ili kuhakikisha sheria za barabarani zinafuatwa.
Imetayarishwa na Janice Marete