RUTO AONYA WABUNGE ‘FISADI’ WATAKAMATWA
Rais William Ruto ameonya kuwa wabunge wanaohusika na ufisadi bungeni watakamatwa, akiibua madai kwamba maseneta hudai hadi shilingi milioni 150 kutoka kwa magavana ilu kuficha Sakata za ufisadi dhidi ya magavana husika.
Akizungumza wakati wa kikao cha pamoja cha wabunge wa vyama vya ODM na UDA, Rais amesema wabunge hudai hongo kabla ya kupitisha au kuangusha miswada bungeni.
Kauli yake imesisitizwa na kinara wa ODM Raila Odinga, anayesema viwango vya ufisadi bungeni vinaibua hofu.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































