#Local News

SAKAJA AFANYA MABADILIKO KWENYE SERIKALI YA KAUNTI

Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja  amefanya mabadiliko katika sekta mbalimbali ndani ya serikali ya kaunti katika azma ya kuboresha huduma bora kwa wakaazi.

Miongoni mwa mabadiliko hayo ni kuwapa maafisa kumi hati tofauti akiwemo Geofrey Mosiria ,Tony Michael Kimani,Ibrahim Otieno na wengine  saba wakiamishwa kwenda sekta mbalimbali.

Mabadiliko hayo yanajiri siku chache baada ya utawala wa sakaja kuwa na doa ambapo wawakilishi wadi walipanga hoja ya kumtimua afisini  kabla ya uingiliaji kati wa rais na aliyekuwa kiongozi wa chama cha odm hayati Raila Odinga kutokana na utumizi mbaya wa mamlaka.

Imetayarishwa na Jones Koikai

SAKAJA AFANYA MABADILIKO KWENYE SERIKALI YA KAUNTI

VIONGOZI WA UPINZANI WAISHTUMU SERIKALI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *