KIPSANG: KILA LA HERI WATAHINIWA WA KSCE
Katibu katika wizara ya elimu Belio Kipsang amewahakikishia watahiniwa wa KCSE usalama wao hawa wle ambao wako katika maeneo yanayoshuhudia utovu wa usalama.
Kulingana na Kipsang tayari vitengo mbali mbali vya idar ya usalama vimejitolea kuhakikisha usama wa wanafunzi unadumishwa huku akiwatakia wanafunzi wote kote nchini kila la heri katika mitihani yao.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































