#Local News

MAHAKAMA YAKATAA KUSITISHA KESI YA KUMUONDOA GACHAGUA

Jopo la majaji watatu walioteuliwa kusikiliza kesi ya naibu wa rais Rigathi Gachagua kuam uja iwapo hoja ya kubanduliwa mamalakani litajadiliwa au la limekataa kutoa maagizo kusitisha kesi ya kushtakiwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua katika Seneti.

Majaji Erick Ogolla, Antony Mrima na Frida Mugambi wamesema Gachagua hatakabiliwa na chuki yoyote iwapo Bunge la Seneti litaendelea na hoja ya kumtimua.

Huku wakikataa kumpa maagizo hayo, majaji hao wamesema kuwa kesi ya Gachagua haitapotea kwani anaweza kuhamia kortini kupinga matokeo hayo.

Imetayarishwa na Janice Marete

MAHAKAMA YAKATAA KUSITISHA KESI YA KUMUONDOA GACHAGUA

ODM IKO IMARA, NYONG’O

MAHAKAMA YAKATAA KUSITISHA KESI YA KUMUONDOA GACHAGUA

SAMSON OPIYO ATUZWA NA SJAK

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *