#Local News

DIVISHENI ZA KEIYO, KAPOMBOI KUANZA HUDUMA

Serikali imepania kurahisisha upatikanaji wa huduma zake muhimu kwa wananchi katika kaunti ya Trans Nzoia kupitia kuanzishwa kwa divisheni 2 za Keiyo na Kapomboi na kata ndogo ya Teitei katika eneo bunge la Kwanza kaunti hiyo.

Tangazo hilo limewekwa wazi na Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen ambaye pia amesema serikali ina mpango wa kuweka lami kwenye barabara ya Maridadi-Kapomboi hadi Kolongolo katika juhudi za kurahisisha uchukuzi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

DIVISHENI ZA KEIYO, KAPOMBOI KUANZA HUDUMA

CITY WAONYESHWA VIMULIMULI VYA BLUES

DIVISHENI ZA KEIYO, KAPOMBOI KUANZA HUDUMA

10 WAFARIKI KWENYE AJALI NAIVASHA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *