KURIA AWASUTA WANAOPINGA MSWADA WA FEDHA
Mwenyekiti wa kamati yafedha katika bunge la kitaifa Kimani Kuria amewasuta wanaopinga mswad wa fedha 2024 kwa madai kwamba wanaoshinikiza wabunge wao kuupinga mswada huo hawajasoma na kufahamu vyema mswada huo.
Kuria amesema kuwa baadhi ya madai yaliyoibuliwa mfano kuongezwa kwa kodi ya ardhi wamepotosha umma.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































