OCS WA CENTRAL AKAMATWA
Ocs wa kituo cha polisi cha central hapa Nairobi Samson Talam amekamatwa mjini Eldoret kaunti ya Uasin gishu.
Polisi wanadai kuwa Talam aliyekuwa hapatikani kwa njia ya simu alikuwa kwenye jaribio la kutoweka.
Talam sasa amekabidhiwa kwa mamlaka ya Ipoa inayoendelea na uchunguzi wake katika kifo chenye utata cha Albert Ojwang.
Imetayrishwa na Maureen Nyongesa
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































