#Sports

MKUTANO MKUU WA MCHEZO WA MAGONGO UTAFANYIKA JULAI

Muungano wa Mpira wa Magongo wa Kenya (KHU) umetangaza rasmi kwamba utafanya Mkutano wake Mkuu wa Mwaka (AGM) na kufanya uchaguzi wake uliosubiriwa kwa muda mrefu siku ya Jumamosi, 26 Julai, katika Ukumbi wa Waadventista wa Kanisa la Maxwell kuanzia saa nane mchana.

Huu utakuwa uchaguzi wa kwanza baada ya miaka saba, na wa mwisho kufanyika Januari 2018, licha ya Sheria ya Michezo ya 2013 kuyataka mashirikisho ya michezo kufanya uchaguzi kila baada ya miaka minne.

Katika notisi iliyotiwa saini na Katibu Mkuu wa KHU Wycliffe Ongori, muungano huo ulithibitisha kuwa uchaguzi utafanywa wakati wa AGM kama sehemu ya ajenda rasmi.

Uchaguzi huo utahusisha nafasi kumi muhimu za utendaji, zikiwemo:

Imetayrishwa na Nelson Andati

MKUTANO MKUU WA MCHEZO WA MAGONGO UTAFANYIKA JULAI

DORTUMUND YAFUZU KWA 16 BORA

MKUTANO MKUU WA MCHEZO WA MAGONGO UTAFANYIKA JULAI

DUKE ABUYA ASHINDA TUZO LA LIGI KUU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *