WAPE HAKI WAJANE
Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wameibua wasiwasi kutokana na kuongezeka kwa kesi za ardhi katika kaunti ya Migori zinazohusu wajane.
Huku idadi kubwa ya wajane wakikabiliwa na migogoro ya ardhi kwa miaka mingi katika mahakama wakitafuta haki, kikundi cha watetezi kimehimiza mashirika yote ya serikali yanayoshughulikia masuala ya ardhi kutoa haki kwa waathiriwa.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































