BIMA MPYA YA AFYA KUZINDULIWA LEO

Wakenya wametakiwa kujisajili katika bima mpya ya afya bila wasi wasi kwa kuwa kufanya hivyo kutawapa nafasi nzuri ya kupata huduma bora za afya.
Katibu katika wizara ya afya Harry Kemuati amesema kuwa data za wagonjwa zitawekwa katika mfumo wa kidijitali kwa lengo la kuimarisha upatikanaji wa huduma bora za afya.
Imetayarishwa na Janice Marete