#Local News

MWANAMME, 20, AHUKUMIWA MIAKA 20 JELA KWALE

Mahakama mjini Kwale imempa kifungo cha miaka 20 gerezani mwanamme mwenye umri wa miaka 20 baada ya kumpata na hatia ya kumnajisi msichana mwenye umri wa miaka 12.

Mshtakiwa kwa jina Jackson Waweru maarufu kama Kibaki, amehukumiwa mbele a hakimu mkazi Ruth Ogolla, ambaye amempata na kosa la kunajisi na kushiriki tendo linalokiuka maadili na mtoto mdogo kinyume na sheria.

Mahakama iliambiwa kuwa mwathiriwa aliyekuwa akicheza na Watoto wenzake katikia Kijiji cha Kinango kwenye uwanja wa shule, alishambuliwa na kupewa kileo kabla ya kupelekwa kwa mshukiwa kimabavu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MWANAMME, 20, AHUKUMIWA MIAKA 20 JELA KWALE

RAIS AONGOZA UZINDUZI WA MRADI WA NYOTA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *