#Local News

WAHADHIRI WA VYUO VIKUU WAMEKATAA KUSITISHA MGOMO WAO

Viongozi wa vyama vya wafanyakazi wa vyuo vikuu na wahadhiri UASU na kusu wamesema kuwa mgomo wao unaendelea hadi pale serikali itakapo walipa  pesa wanazodai .

 viongozi hao wametoa tangazo hilo baada ya kukosa kuafikiana kwenye mkutano wao na serikali, na mgomo huo ukiendelea kwa siku 45 sasa wanafunzi wakitishia kuandamana kote nchini

Kwa mujibu wa mkataba wao wa makubaliano ni kwamba wahadhiri wanaidai serikali shilingi bilioni 7.9.

Imetayarishwa na Jones Koikai

WAHADHIRI WA VYUO VIKUU WAMEKATAA KUSITISHA MGOMO WAO

MBINU MBOVU ZA UKULIMA KIINI CHA VIFO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *