KOSKEI AWAONYA MAKATIBU WA WIZARA
Makatibu wakuu wanaohudumu katika wizara tofauti watalazimika kuwajibikia visa vya ufisadi unaoripotiwa katika wizara zao.
Ni onyo iliyotolewa na mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei anayesema hataruhusu rais William Ruto kulaumiwa kwa visa vya ufisadi ilhali ni wakuu hao wanaosimamia shughuli za uagizaji.
Ametaka pia kuripotiwa kwa maafisa wa serikali wanaotumia visivyo fedha za umma.
Imetayarishwa na Maureen Makhobe
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































