#Local News

WAFURUSHE WANAKANDARASI WAZEMBE; WAKAZI WAAMBIA SERIKALI YA KISUMU

Wakaazi wa kaunti ya Kisumu wameitaka serikali ya kaunti hiyo kuharakisha kukamilisha miradi iliyokwama katika kaunti nzima.

Wakizungumza katika ukumbi wa Kosawo katika kaunti ndogo ya Kisumu Mashariki wakati wa Huduma Mashinani inayolenga kuboresha utoaji wa huduma, wakazi hao wameitaka serikali ya kaunti kuchukua hatua dhidi ya wanakandarasi wanaochelewesha miradi hiyo, ambayo kulingana nao imewanyima fursa ya kunufaika nayo.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *