#Local News

RUTO: TUTAONGEA NA ODM KWA USAWA

Rais William Ruto amesisitiza haja ya ushirikiano kati ya chama cha UDA na ODM kwenye uchaguzi mkuu ujao, akiwataka viongozi wa ODM kuwapuuza wanaopinga ushirikiano huo.

Akizungumza katika kaunti ya Siaya, Ruto amesema mazungumzo baina ya vyama hivyo yataendeshwa kwa usawa kabla ya kuafikia ushirikiano.

Amesema kuwa ripoti kuhusu ajenda 10 na ile ya NADCO itawasilishwa hapo kesho.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO: TUTAONGEA NA ODM KWA USAWA

SAKAJA: MFUMO WA MAJITAKA FINYU

RUTO: TUTAONGEA NA ODM KWA USAWA

BB BREAD YABOMOA GOR, AFC LEOPARDS

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *