WASHUKIWA WA MAUAJI YA WERE KUSALIA KIZUIZINI
Washukiwa 3 walioshtakiwa kwa kuhusika na mauaji ya mbunge wa Kaspul Charles Were wataendelea kuzuiliwa kwa muda wa siku 30 wakisubiri mwelekeo wa mahakama.
Tatu hao William Imoli,Edwin Oduor na Ebel Ochieng walikana mashtaka dhidi yao baada ya kufikishwa mbele ya jaji Diana Kavedza.
Awali tatu hao walikosa kuchiliwa kwa dhamana baada ya mmoja wao kumtishia kiongozi wa mashtaka .
Imetayrishwa na Maureen Mukhobe
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































